Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Ukweli utabaki pale pale iPhone ni simu bora!sio bora simu
 
Hakuna simu ya kuzifananisha na iphone zote ni ushubwada tu ila kuusu fitna za wachina sikatai lakini kiubora wa simu IPHONE CHEZA NAYO MBALI AISEE
 
Hakuna simu ya kuzifananisha na iphone zote ni ushubwada tu ila kuusu fitna za wachina sikatai lakini kiubora wa simu IPHONE CHEZA NAYO MBALI AISEE
Kwahiyo unataka kusema kuwa samsung galaxy note 9 ukiiweka na iPhone Xs max..bado hakuna ulinganifu hapo??
 
Kwahiyo unataka kusema kuwa samsung galaxy note 9 ukiiweka na iPhone Xs max..bado hakuna ulinganifu hapo??
Note 9 ilinganishe na Xs mkuu Max moto mwengine usiangalie namba za ram angalia simu ubora wake mkuu hahaha iphone bado itasumbua sana yan
 
nachojua hata iphone inatengenezwa china,
"Apple designs the iPhone, but the components that, when put together, make something called an iPhone are manufactured all over the world. It is assembled mostly in China "
 
Mpare sio [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Mkuu iPhone zina copy Huawei haina copy wala second hand!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
siku hizi hizo iphone 6 bei imeporomoka kweli....ndio watu wanakuja kuturingishia huku mtaani
Ni mambo ya class nyie mabwege....nyie mnaongelea iphone feki......iPhone ina watu wake haiwezi kushuka hata siku moja....ni sawa na kusema eti Mac ishindane na Dell...au Mercedez Benz ishindane na Subaru? ...Huwezi kusema eti DSTV inakufa sababu ya kuwepo Azam TV, Star Times.....ni classes tofauti kabisa...nenda Mbagala au Buguruni kama utakuta mtu ana DSTV nyumbani kwake...hamjiongezi tu?
 
Swali nje ya mada
Kwanini watumiaji wa Samsung huwa wanajiona wao ndio wanamiliki simu kali zaidi jambo ambalo si kweli.je zina mionzi inayowaathiri kisaikolojia au ni nini?
 
umesoma vizuri nilichokisema???
kimbilio lako matusi tu sababu huna hoja & hujielewi vilevile...

kwa kumheshimu bro Mshana Jr sitojibu lugha isiyo na staha kwenye uzi wake
 
Swali nje ya mada
Kwanini watumiaji wa Samsung huwa wanajiona wao ndio wanamiliki simu kali zaidi jambo ambalo si kweli.je zina mionzi inayowaathiri kisaikolojia au ni nini?
Brainwashed people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…