Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Jf bana huwa kuna muda inanichekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijui kwanini mara nyingi huwa naona thread za Watumiaji wa tecno wakiziponda I phone
 
Sio mimi muuzaji, nitakutafutia contact zake usijali

Mshana huwa nakuamini lakini kwa huu uzi umechemsha!!! Mimi natumia IPhone 6s Plus!! Huwezi linganisha IPhone na Simu za hovyo kama Huawei!!!! Ni vizuri utuombe msamaha watumiaji wote wa IPhone hapa JF!! Na usirudi tena na uzi Kama huu usiokuwa na kichwa wana miguu!! Hopeless Thread!!!
 
Mkuu wewe ni wakala wa Huawei hapa Tanganyika , maana hilo promosheni sio la kitoto.
 
Kuna kitu inaitwa OPPO F9 mchina,icheki uone kama huyo iPhone atatia mguu hapo
Haha jikaze ununue Iphone...hatred hazikusaidii kitu zaid ya kukupa moyo.

Zitakuja simu za kichina za bei mbali mbali ila Hadhi ya Iphone au Samsung haitakuja kuondolewa na mchina
 
Dafrau maana yake nn?
 

sema huu mwandiko wa i-Tel. Nashindwa ku justify authenticity of your comment
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtz tena mpare....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…