CAF Champion league: Raja Casablanca Vs Al Ahly | Updates

CAF Champion league: Raja Casablanca Vs Al Ahly | Updates

Ahly anashinda et tena wapo pungufu mtu 1 na dakika bado
 
Kuna mchezaji wa raja amepewa kadi za njano mara 2 alafu refa kasahau kumpa red najamaa aliyepigwa kadi kauchuna tu....huyu refa kituko mpaka watangazaji wameshangaa
Ile Kadi ya mwanzo ilifutwa coz ilitolewa baada ya tukio lililosababisha penalty
 
Halafu mechi za waarabu wanaonyesha sana mashabiki wakati mpira unaendelea tofauti na kwa Mkapa. Hili inabidi tulifanyie kazi.
 
Kwanini game ya Esparance na JS Kabylie inekuwa Aborted?
 
Ahly wapate goli sasa waache uchovu,watu wapo pungufu
 
Timu za Morocco ni vibonde, ni kelele za mashabiki ndizo zinawatia hofu wapinzani wao.
 
Back
Top Bottom