CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

CAF CONFEDERATION CUP imeanzishwa mwaka 2004.
Vipi SIMBA imewahi kufika Nusu Fainali?
 
Wewe usha kuwa mwehu
 
UEFA ni chama cha soka Barani Ulaya ni kilianzishwa mwaka 1954 nchini Uswizi.

Una swali lingine?
Una hakika na chanzo chako kuwa mwaka 1954 kulikuwa kuna kitu kinachoitwa UEFA?
 
Taarifa nyeti zinazohusu origin ya kitu ikiwa imechapishwa kwenye ukurasa wa Wikipedia huwa inasomwa kwenye kipengele cha history

Umepitia hapo kwenye kipengele cha history umesoma ukaambiwa 1954 kulikuwa na mashindano yanayoitwa UEFA?

Halafu pia unatumia version gani ya Wikipedia?

Aukuna hiyo picha yako ume edit kutoa baadhi ya content ili kufanya hoja yako ionekane ina mashiko kwa wasiofuatilia?

Angalia hii picha happ nilipo circle 🔴



Halafu ukitoka hapo nenda kwenye list ya mabingwa wa hiyo michuano kisha nitumie screenshot yako hapa ikionesha bingwa wa msimu wa kwanza wa haya mashindano
 
Basi wewe ni Chizi, umeuliza UEFA. Nimekujibu UEFA ni chama cha soka barani Ulaya.

Unaweka UEFA CHAMPIONS LEAGUE tena, ww chizi. Ungeuliza UEFA CHAMPIONS LEAGUE IMEANZISHWA LINI UNGEJIBIWA PIA.

PATHETIC.
 
Basi wewe ni Chizi, umeuliza UEFA. Nimekujibu UEFA ni chama cha soka barani Ulaya.

Unaweka UEFA CHAMPIONS LEAGUE tena, ww chizi. Ungeuliza UEFA CHAMPIONS LEAGUE IMEANZISHWA LINI UNGEJIBIWA PIA.

PATHETIC.
Unajitoa akili tena?

Ngoja nikukumbushe tulikoanzia

Mjadala ulikuwa unahusu mashindano ambayo saizi yameitwa CAF Confederation Cup.

Wewe umekuja na hoja kuwa Yanga ndio Club pekee kwa hapa Tanzania kufika hatua ya fainali kwa michuano hiyo.

Mimi nimefanya Abbreviation kutaja neno UEFA kwakua najua mada tunayojadili mezani inahusu kitu gani na mimi nime point UEFA kama mfano wa kukuonesha jinsi gani haupo sahihi kwa fikra zako kuamini fainali ya Caf Cup aliyocheza Simba haihisiani na Caf confederation.

Sasa twende taratibu, ule utata bila shaka haupo tena.

Haya niambie UEFA CL ilianza mwaka gani?
 
Reactions: Tui
Hakujua hata ameulizwa nini?Tatizo kukurupuka.
 
1955 wakitumia European Champions Cup.
 
1955 wakitumia European Champions Cup.
Na 1993 Simba alifika fainali wakati huo wakitumia Caf Cup ambayo ndio CAF Confederation Cup kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…