Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hata mie sijaelewa,zamalMisri wametumia msimamo upi maana ligi yao bado mbichiii
Ndio vizuriMbona azam wamemkomalia Sana Yaani akishinda akutane na Pyramid sasa si kashatoka hyo
Endelea kujifunza na kufuatilia mashindano ya CAF, ipo siku utakuja kuona hakuna timu itakayoanzia hatua ya pili nadhani utashangaa sana kwavile hujui taratibu za mashindano.Kwa kweli Yanga wanaonewa na CAF. Bingwa wa nchi yenye timu 4 mashindano ya CAF, lakini bado wanaanza preliminary round? Mwaka jana hivyo hivyo , Yanga alikuwa bingwa na Simba mshindi wa pili lakini Yanga katupwa preliminary Simba huyoo moja kwa moja raundi ya kwanza. Pamoja na Eng. Hersi kuwa mwenyekiti wa vilabu bado haya maonevu Yanga hayaishi.
Inawezekana wewe ndiye unatakiwa ujifunze zaidi. Miaka yote hakuna timu inayoanzia hatua ya pili. Kuna kuna kuanza preliminary kwa zile timu dhaifu na baadaye ndio wanaofuzu preliminary wanaanza raundi ya kwanza kuungana na wale walioanza moja kwa moja raundi ya kwanza. Sasa mwaka jana Yanga akiwa bingwa alianza preliminary na timu nyingine dhaifu lakini Sima japo hakuwa bingwa alianza moja kwa moja raundi ya kwanza. Hiyo ni sawa? Kwa nini Yanga aonekane dhaifu wakati ni bingwa na aliyechukua nafasi ya pili yyani Simba aonekane mkubwa zaidi? Au wewe ndugu yangu hukujua hayo?Endelea kujifunza na kufuatilia mashindano ya CAF, ipo siku utakuja kuona hakuna timu itakayoanzia hatua ya pili nadhani utashangaa sana kwavile hujui taratibu za mashindano.
Huyo dogo ameongea kwa kebehiEndelea kujifunza na kufuatilia mashindano ya CAF, ipo siku utakuja kuona hakuna timu itakayoanzia hatua ya pili nadhani utashangaa sana kwavile hujui taratibu za mashindano.
Nadhani hakujua hilo anachojua yeye ni kwamba tulikutieni goli 5Inawezekana wewe ndiye unatakiwa ujifunze zaidi. Miaka yote hakuna timu inayoanzia hatua ya pili. Kuna kuna kuanza preliminary kwa zile timu dhaifu na baadaye ndio wanaofuzu preliminary wanaanza raundi ya kwanza kuungana na wale walioanza moja kwa moja raundi ya kwanza. Sasa mwaka jana Yanga akiwa bingwa alianza preliminary na timu nyingine dhaifu lakini Sima japo hakuwa bingwa alianza moja kwa moja raundi ya kwanza. Hiyo ni sawa? Kwa nini Yanga aonekane dhaifu wakati ni bingwa na aliyechukua nafasi ya pili yyani Simba aonekane mkubwa zaidi? Au wewe ndugu yangu hukujua hayo?
Umeishaambiwa endelea kujifunza elimu haina mwisho. Na mimi nakusisitiza endelea kujifunza.Inawezekana wewe ndiye unatakiwa ujifunze zaidi. Miaka yote hakuna timu inayoanzia hatua ya pili. Kuna kuna kuanza preliminary kwa zile timu dhaifu na baadaye ndio wanaofuzu preliminary wanaanza raundi ya kwanza kuungana na wale walioanza moja kwa moja raundi ya kwanza. Sasa mwaka jana Yanga akiwa bingwa alianza preliminary na timu nyingine dhaifu lakini Sima japo hakuwa bingwa alianza moja kwa moja raundi ya kwanza. Hiyo ni sawa? Kwa nini Yanga aonekane dhaifu wakati ni bingwa na aliyechukua nafasi ya pili yyani Simba aonekane mkubwa zaidi? Au wewe ndugu yangu hukujua hayo?
Shukrani sana mkuu nimeonaSisi tutaingia awamu yapili.
Tunasubiri Mshindi kati ya Uhamiaji vs Libya 1(ligi yao haijaisha).
View attachment 3039769
Shukrani, tayari Simba nao tuko group stage
Kwenye mshindi wa 3 na 4 nchini kwao bado kuna utataAl ahly tayari ameshaingia.
Pyramid ataingia.
Imeisha
Draw tayari nadhani