CAF Champions League: Al Ahly vs Yanga 20/04/16

Ila wana simba wenzangu, pamoja na kwamba leo yanga anaweza tolewa, TUKUBALI tu yanga katuzidi kila idara. Wanamatch na timu nyingi za Afrika kimpira.
Mpaka sasa yanga hawawaogopi hawa jamaa, ni ngoma droo. Kwa kipindi hiki tukubali tu wametuzidi.
 
Duh waarabu wanakimbiza mwanzo mwisho
 
Jana Azam alibana kipindi cha kwanza! Kipindi cha pili balaa likamwangukia.
 
Dah!
Hawa Al Ahly kocha wao kumbe ndo yule wa Spurs wa zamani? Martin Jol, duh!
 
Sasa hii ndio mechi. Tusubiri maoni ya wanaodai Yanga inabebwa
 
Dida yupo chini baada ya kupata dhoruba...

Al Ahly walipiga kona na wakati Dida akiokoa akakutana na mwarabu...

Dk 30

Al Ahly 0 - 0 Yanga
 
mkuu mbona haionyeshi?
 
Hawa jamaa watatufunga kwa mtindo wetu wa kucheza kurudisha nyuma.
Maana badala ya mchezaji kuangalia tapenyaje,basi yeye mbio anarudisha nyuma,hasa msuva
 
Hawa jamaa Mbona wanaishambulia yanga mpaka aibu.....!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…