mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Washapigwa 2-1 na mpira umekwisha.
Nasikia wakirudi wanapitia Pemba moja kwa moja kudai pesa zao na kufufua zile maiti walizofukia kutafuta ushindi Misri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washapigwa 2-1 na mpira umekwisha.
Coastal Union imezifunga Simba, Yanga, Azam na Mtibwa. Inashika mkia kwenye ligi, ipo nusu fainali kwenye FA. Sasa nataka uniambie, Coastal Union ni mbovu au sio mbovu?timu mbovu ilingane na Toto Africans?
eti wafa kiumee,labda wafa "kiMalinzi"Waje kutuadithia kwenye ziara yao kitalii wamejifunza nini,eti wa kimataifa! Walifikiri na kule kuna mbeleko.
acha kupotosha wewe,jiulize mmeenda kucheza ama kuchezewa?Wanastahili pongezi sana,Oscar ndo kaigharim timu kwa kusubiri mpira umfikie mguuni.Kwa mpira ule Simba tungepigwa 10 kwa kibuyu.
Nasikia wakirudi wanapitia Pemba moja kwa moja kudai pesa zao na kufufua zile maiti walizofukia kutafuta ushindi Misri.
Hahahaaah hajatoa tamko bado??Jerry Muro naskia amegoma kunywa chai!
Naona umefurahi LeoHahahaaah hajatoa tamko bado??
Arudi aje aendelee kununua ligi ya bongo maana waarabu hawanunuliki alisahau hilo nampa poleNdio ataongea zaidi mtamsikia.
Aende tu kwa Mpira gani alionao[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkumbushe bangi na bia hazichezi MpiraJana Yanga imepoteza lakini wachezaji wamegain, waliojituma mawakala wamewaona, ndio sababu straika wenu wa Simba ameweka wazi kama mkikosa nafasi ya kupanda ndege hatosaini tena Simba, maana ndondo Cup zinahudhuliwa na mawakala wa Mwadui fc na Twiga stars.
Anaweza vya kuja kuropoka alisahau waarabu hawanunuliki Kama kessy. Aibu yake Kama vipi agome na kula kabisa.Jerry Muro naskia amegoma kunywa chai!
Kapuku utakwenda kuhani msiba wa mtaniAende tu kwa Mpira gani alionao[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkumbushe bangi na bia hazichezi Mpira
We mwanamke mmh Kessy anataka kwenda kimataifaAnaweza vya kuja kuropoka alisahau waarabu hawanunuliki Kama kessy. Aibu yake Kama vipi agome na kula kabisa.
No! Sisi Yanga bado tuko International, ninyi endeleeni kuvizia kombe la Ligi ambalo nalo linaelekea kuwaponyoka kama ilivyokuwa kwa FA cup.SASA WOTE TUMEKUWA WA MATOPENI