CAF Champions league Draw: Simba SC yapangiwa kundi moja na Al Ahly SC ya Misri

Lilikuwa kombe gani,au ulikuwa bado unanyonya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msimu ulioisha Al Ahly kacheza champions league final
Vita kacheza confederation Cup final
Alafu unasema kundi jepesi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mazungumzo yangu yalianzia hapa, kama vita kacheza fainali confederation, basi na simba pia kacheza fainali.
Usiwe unakurupuka kama umemwagiwa maji ukiwa usingizini kwenye kile kibaraza chenu jangwani.
 
Naunga mkono kikokotoo cha CUF πŸ˜€
 
Mbona kundi la kawaida sana. Kwani tumewambia simba tutabaki na timu yetu ileile tuliocheza na nkana! Lazima tuongezee nguvu zaidi ili kuendana na washindani wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…