Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio
Kwa upande wa CAFCL bado haijajulikana watakuwa wanachukua timu ngapi. Ila upande wa AFL waangalia rank kwa zone husika ila idadi ya timu haipaswi kuzidi 3 kwa nchi moja.Itaumiza sana timu ndogo kama kina Azam,FAR Rabbat nk.
Au timu 2 Kila Mashindano? Yaani Champions League timu 2 na AFL timu 2?
Ndio
So michuano mikubwa hapo ni ipi sasa kati ya CAFCL na hiyo mipyaKucheza AFL kigezo ni CAF 5 years ranking. Nimefafanua vizuri tu huko juu.
Kuna zone 3 na kila zone inatakiwa itoe wawakilishi 8 na hao wawakilishi wanapatikana kwa kutumia CAF 5 years ranking.
Huwezi kuchagua kama caf ranking una point nyingi utafuzu AFL kama una point chache basi msimamo wa ligi kuu utakufanya ushiriki CAFCl.
AFL ndio itakuwa shindano kubwa halafu CAFCL itakuwa ni dogo.
Nyie mlifika wapi?Watafurahi sana... Ingawa hawatofika popote
ndo hazitambuliki tenaZina matatizo gani hizo medali au zimefanyaje?
Nenda kagoogleNyie mlifika wapi?
AFL haingalii msimamo wa Ligi za ndani ukiwa na point za kutosha Caf unafuzu moja kwa moja kushiriki AFL.Na ikitokea timu imechukua ubingwa na pia imekidhi vigezo vya kua na point nyingi kwenye zone yake inakuaje mfano kwa Yanga akichukua ubingwa wa ligi kuu na pia point zake Kwa zone yake zinatosha kushiriki AFL hapa inakuaje?
Umeyatoa wapi haya? nini maana ya Champions League?AFL haingalii msimamo wa Ligi za ndani ukiwa na point za kutosha Caf unafuzu moja kwa moja kushiriki AFL.
Klabu bingwa itabaki kwa zile timu zilizokosa points za kushiriki AFL na kwa mantiki hiyo kuanzia mwakani usitegemee kuziona Al Ahly,Wydad,Mamelod,Raja AC au Simba kwenye Champions league timu zote hizo na nyingne jumla 24 zitajiandaa kushiriki AFL badala ya Cafcl
Nika Google nini? mashindano yalianzia hatua gani na mlifika hatua gani?Nenda kagoogle
Maana ya Champions league ni ligi ya mabingwa ila kwa sasa itakuwa ni kama shirikisho tu maana vigogo wote watakuwa AFL na hayo ni mabadiliko mapya ya Caf kama utakaa kubisha subiri msimu mpya wa Caf uanze ndio utaelewaUmeyatoa wapi haya? nini maana ya Champions League?
Samahani ndugu, naomba chanzo (source) cha kuaminika cha habari yako.Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league.