CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

Ila Ali Ali huwa anatupandisha presha mashabiki wa Yanga! Yaani hata huelewi siku hiyo ataamkaje. Kimo kinamtesa! Yaani viongozi wa Yanga walishindwa kabisa kumuona Bakary "Nondo" Mwamnyeto wa Coastal Union kweli!
Acha upuuzi wako kwani Ally Ally anacheza pekeyake?
 
Ila Ali Ali huwa anatupandisha presha mashabiki wa Yanga! Yaani hata huelewi siku hiyo ataamkaje. Kimo kinamtesa! Yaani viongozi wa Yanga walishindwa kabisa kumuona Bakary "Nondo" Mwamnyeto wa Coastal Union kweli!
Heheheeee!
 
Kama huyo Ali Ali ni mchumba/mume wako, basi usisahau kumfikishia salamu zangu! Hatoshi kuichezea Yanga.
Small minds kichwa kidogo unawaza ngono jibu swali acha mbwembwe mtoto wa kike
 
Atakapowasili, usisahau kwenda kumpokea uwanja wa ndege na maua! Sawa!! Ila mwisho wa siku umwambie hana sifa ya kuichezea Yanga, maana ni mchezaji wa kiwango cha kawaida sana! Bora hela ya usajili wake, ingetumika kumlipa Dante deni lake.

Au wewe ndiyo Ali Ali mwenyewe nini!! Unaweza uka declare tu interest badala ya kutokwa na mapovu.
 
Wewe bibi jiangalie
 
Kwani siwanaenda CAF ya akina mama kuendelea mashindano championi?
 
Wewe bibi jiangalie

Mada imeshafungwa. Nimeshapata taarifa rasmi Ali Ali pamoja na wachezaji wengine, wameshawasili nchini. Nina imani utakuwa ulijipamba sana ulipoenda kumpokea pale terminal 3! 🚶🚶🚶🚶
 
Nyinyi ndio mikosi pale yanga
 
Na utuambie alifika hatu gani?
Hakufungwa nje-ndani kama hawa.
Peke yake alipata point 15 na kufanya timu ziwe 4 kwenye mashindano.
Ngoja tuone hawa Jangwani
Na pia ilikuwa klabu bingwa Afrika sio kombe la shirikisho, na ilikuwa ni hatua ya makundi
 
Inaonekana Mbumbumbu zilitamani sana Yanga ifungwe goli 5.
Mshukuruni zahera kwa mikakati thabiti ya kuvaa kipensi hadi Uarabuni maana ile michirizi utamu yake iliwachanganya waarabu wakashindwa ku- concentrate uwanjani ndo wakaishia goli tatu, Ila vinginevyo 7 zingewahusu hahahaaa hahahaaa...!!!!!!!!!!!!!!!!!aiseeee........
 
No offense. Una mawazo ya kishoga sana jamaa yangu.
 
Umepanic ki kike-kike flani hv Dogo.
Jitathmini ndugu yangu mtoto wa kiume unaanzaje kuwa na fikra za kutamani mapaja ya mwanaume mwenzako. Halafu unaamini mimi ndio niliepanic na sio wewe?! Maajabu hayajawahi kuisha.
 
Back
Top Bottom