CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

wacha waje wateseke kwenye ligi sasa mwaka jana walimaliza ligi nafasi ya pili mwaka huu hata nafasi ya tatu hawapati
 
Litoto limefeli mtihani wa darasa la saba tukalirudisha darasa la nne nako limefeli vibaya sana
 
Litoto limefeli mtihani wa darasa la saba tukalirudisha darasa la nne nako limefeli vibaya sana
Umemsahau na watoto ambao wameshindwa kufika hata hiyo darasa la saba. Wamefeli mwanzoni kabisa, je unaweza kutupa sababu za kufeli kwao ni nini?
 
Inaonekana Mbumbumbu zilitamani sana Yanga ifungwe goli 5.
 
TFF jamani wakati umefika wa kuifungia Yanga kimataifa.....hiii timu toka Uhuru mpaka leo hii haijawahi kufanya la maana kimataifa, si haibu hii jamani? Uchawi wao unawapeleka wapi kama si kulihaibiha taifa tu?
 
Back
Top Bottom