CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

Maisha haya bwana. Yaani mikia ndio mlikosa usingizi kuifuatilia timu ya Wananchi. 😂😂😂
 
Maisha haya bwana. Yaani mikia ndio mlikosa usingizi kuifuatilia timu ya Wananchi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mama aliyemzaa mtoto akimtelekeza na jamii pia imtelekeze huyo mtoto?
Sisi watanzania wazalendo huyo sio ubinadamu ndo mana tunafungua Hata vituo vya watoto yatima
 
Hivi mama aliyemzaa mtoto akimtelekeza na jamii pia imtelekeze huyo mtoto?
Sisi watanzania wazalendo huyo sio ubinadamu ndo mana tunafungua Hata vituo vya watoto yatima
Hata sijakuelewa Mtani. Kuzunguka kote huko unamaanisha nini labda?
 
Angalau ule ugonjwa wa wivu wivu mliokuwa nao upone sasa. 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Angalau ule ugonjwa wa wivu wivu mliokuwa nao upone sasa. 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

Nje ndani.

Haya njooni mkate viuno huku VPL,wanaume tunaongoza kinomanoma
 
Wana Yanga wenzangu hii hali haitaisha kiongozi Yanga alikuwa Tiboroha. Tukubali tukatae timu nimbovu sana kocha haelewi cha kufanya. Alikuta timu nzuri ya vijana akawatawanya wote sasa ona kincho endelea.
 
Back
Top Bottom