king joniva
JF-Expert Member
- May 14, 2018
- 262
- 296
Tano-Moya(zahera voice) hahahahahahahahahaFresh tu, kuna ile timu ya vikongwe juzi hapa wamefungwa na Mwadui leo eti nao wanatucheka.
Bora sisi tumepanda ndege hadi Misri nyie endeleeni kupanda hiyo KIMOTCO yenu iliyojaa kunguni.
Kwa wale Ndugu zangu wa Club De Internationale le Athletic Dar es Salaam Young Africans gonga like hapa tujuane.