CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

Azam tv wameweka uroho badala ya kurusha kupitia ZBC2 Wakataka kurusha kupitia Azam Spots2 wakidhani waarabu ni mafala wakachomoa betri. Wamekataa kuwapa haki ya kurusha.
Azam nao si waarabu au? Wao ni mabeberu? Azam waache utani watoe hela watu waangalie mechi
 
Nasubiri sasa kuja kumuona Mwinyi Zahera na kikosi chake alichokisajili kwa ajili ya ligi kuu kikifanya maajabu ya kuchukua ubingwa wa ligi kuu bara! Maana njia ya mwongo ni fupi.
 
Magoli yote mawili ni ya kipuuzi, ivi wachezaji mnafungwa magoli mawili ndani ya sita kweli mtasema kocha hajui kufundisha!!! Kweli karne 21 timu nzima haiwez kukaba? Yaani wachezaji wa Yanga kwa magoli haya inabidi wajitathmini magoli ya Kona au freekik ambayo kipa anacheza alaf mfungaji anamalizia tena akiwa pembeni na timu imerudi kukaba ni jambo la upuuzi kabisa. Bora tungefungwa magoli ya kuzidiwa maarifa.
 
"Asante simba na Yanga kwa kushiriki,ahsante azam na kinoboyfc kwa kushiriki tukutane tena mwakani mwezi wa7.mjipange msilende undezi kama mwaka huu"-Ahmed Ahmed (rais wa CAF).tukutane 2020/2021 kama tukipata uzima
 
Yanga wameshinda.
Maana lengo lao ilikuwa kuzuia goli zisifike 5.
Wapenzi wa Yanga tukawapokee mashujaa wetu
 
Back
Top Bottom