Chemagati
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 210
- 285
Kwa taabu sana2-0 sasa unabisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taabu sana2-0 sasa unabisha?
Azam nao si waarabu au? Wao ni mabeberu? Azam waache utani watoe hela watu waangalie mechiAzam tv wameweka uroho badala ya kurusha kupitia ZBC2 Wakataka kurusha kupitia Azam Spots2 wakidhani waarabu ni mafala wakachomoa betri. Wamekataa kuwapa haki ya kurusha.
UD SONGO kafungwa goli 6 leo, simba mlikwama wapi?
Kwa hiyo Yanga wameshawafunga Mkuu?
mwaka jana SIMBA na AL AHLY HALF TIME RESULT: SIMBA 0 AL AHLY 5. hahaha hapo ndio utakapojua simba ilivyo mbovu
Hapana sisi tulishaoa na mke wetu ni Yanga.Mkuu mbona unateseka na Yanga?mchumba wenu aliyewachumBia amepigwa aggregate ya 7-1
Magoli yote mawili ni ya kipuuzi, ivi wachezaji mnafungwa magoli mawili ndani ya sita kweli mtasema kocha hajui kufundisha!!! Kweli karne 21 timu nzima haiwez kukaba? Yaani wachezaji wa Yanga kwa magoli haya inabidi wajitathmini magoli ya Kona au freekik ambayo kipa anacheza alaf mfungaji anamalizia tena akiwa pembeni na timu imerudi kukaba ni jambo la upuuzi kabisa. Bora tungefungwa magoli ya kuzidiwa maarifa.81' 2-0
sawa mabosi mi nashindwa kuangalia kisa link tu2-0 sasa unabisha?
Naona meza inapinduliwa kibabe huko.Simba wangecheza na Pyramids sasa hivi tungekuwa tunahesabu goli la 6
PoleniMagoli yote mawili ni ya kipuuzi, ivi wachezaji mnafungwa magoli mawili ndani ya sita kweli mtasema kocha hajui kufundisha!!! Kweli karne 21 timu nzima haiwez kukaba?
Naona meza inapinduliwa kibabe huko.
Hata mimi nawaza Mkuu. Sijui tuliteleza wapi. Ila afadhali wamepata haki yao mtani. Tujipangetu vizuri mwakani mtani.UD SONGO kafungwa goli 6 leo, simba mlikwama wapi?