CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

Attachments

  • Yanga51.png
    Yanga51.png
    40 KB · Views: 1
Hawa mafarao wanacheza mpira wa kawaida sana.Nadhani tuliwa rate kwa ukubwa usio wao
 
Azam wameomba radhi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao, na hivyo kushindwa kurusha hiyo mechi moja kwa moja. Wadau wanafuatilia kupitia mitandao mbalimbali.
 
Hawa waarabu wasingeifunga 5 simba pia maana simba kupigwa 5 ila kwa hawa waarabu hata simba na ubovu wao wote walionao wasingefungwa 5.
 
Azam tv wameweka uroho badala ya kurusha kupitia ZBC2 Wakataka kurusha kupitia Azam Spots2 wakidhani waarabu ni mafala wakachomoa betri. Wamekataa kuwapa haki ya kurusha.
 
Back
Top Bottom