Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeletwa na nini Mtani?aibu
Thamani ya mchezaji mmoja pyramids fc ni zaidi ya thamani ya klabu ya mikia fc.
Afu thamani ya vyura fc haijulikani Hata thamani yake. Ndo mana Hata Kwenye rank ya CAF haijulikani ni ya ngapiThamani ya mchezaji mmoja pyramids fc ni zaidi ya thamani ya klabu ya mikia fc.
Hivi mama aliyemzaa mtoto akimtelekeza na jamii pia imtelekeze huyo mtoto?Maisha haya bwana. Yaani mikia ndio mlikosa usingizi kuifuatilia timu ya Wananchi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sijakuelewa Mtani. Kuzunguka kote huko unamaanisha nini labda?Hivi mama aliyemzaa mtoto akimtelekeza na jamii pia imtelekeze huyo mtoto?
Sisi watanzania wazalendo huyo sio ubinadamu ndo mana tunafungua Hata vituo vya watoto yatima
Angalau ule ugonjwa wa wivu wivu mliokuwa nao upone sasa. 🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
UD Songo, kidume wa Mikia kalishwa goli 6 bila na Bidvet Wits ya Sauz.Hayawi hayawi hatimae yamekuwa,Meza imeshindikana kupinduliwa sana Yanga kapigwa nyingine 3-0 na kuhitimisha makeke yao kwa kupigwa jumla ya goli 4-1.Yanga mpira hauchezwi mdomoni .View attachment 1253312
Dah mbona baridi sanaHaya bana Mtani!!.
Wazee wa kupindua meza.Imeletwa na nini Mtani?
simba wangefungwa sio chini ya goli 6 na hawa pyramid
Mkuu ni goli 5-1 usijidanganyeMikia wanaumia Yanga kufungwa 3 badala ya 5.
Kibaya zaidi UD Songo kapigwa 6 mtungi na Bidvets ya Sauz.
Tumekuwa kama nyie tu Mtani mlivyotolewa na Du Songo.Dah mbona baridi sana
Mini tatizo mtani
Unaumwa