Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Tunaganga ya VPL sasa Mtani. 😎😎Wazee wa kupindua meza.
Wametuangusha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaganga ya VPL sasa Mtani. 😎😎Wazee wa kupindua meza.
Wametuangusha sana
Sisi hatukuamini kilichotokeaTumekuwa kama nyie tu Mtani mlivyotolewa na Du Songo.
Aggregate? Yes!Mkuu ni goli 5-1 usijidanganye
Karibuni sana.Tunaganga ya VPL sasa Mtani. 😎😎
Heeee!!!Sisi hatukuamini kilichotokea
Maana si kitu tulichotarajia.
Tulipatwa na mshtuko
Ndomana kila mmoja nlikuwa kwenye taharuki.
Haha vipi nyinyi nanyi hamkutarajia
Kilichotokea Jana?
Tutajuwana huko huko. 💃💃💃Karibuni sana.
Uko tuachieni sisi tu mtani.
Mwili wa marehemu utasafirishwa au wanazika hukohuko?,haaaaa haaaaaTunaganga ya VPL sasa Mtani. 😎😎
Ila mna maneno. LolNje ndani.
Haya njooni mkate viuno huku VPL,wanaume tunaongoza kinomanoma
Angalau ule ugonjwa wako umepata dawa mtani. 😀Mwili wa marehemu utasafirishwa au wanazika hukohuko?,haaaaa haaaaa
Sa si bora huyu Mkuu.Litoto limefeli mtihani wa darasa la saba tukalirudisha darasa la nne nako limefeli vibaya sana
Umemsahau na watoto ambao wameshindwa kufika hata hiyo darasa la saba. Wamefeli mwanzoni kabisa, je unaweza kutupa sababu za kufeli kwao ni nini?Litoto limefeli mtihani wa darasa la saba tukalirudisha darasa la nne nako limefeli vibaya sana
Inaonekana Mbumbumbu zilitamani sana Yanga ifungwe goli 5.
Tunaganga ya VPL sasa Mtani. [emoji41][emoji41]
Kwani matokeo hayo ya Yanga niya nyumbani?Hizo mechi zilikua nyumbani na ugenini mbona munaweka ugenini tu, nyumbani kuna nini?