Elias Misinzo Maligo
Senior Member
- Apr 7, 2019
- 140
- 122
Yanga Bariidii Haina Mvuto
Leo Mkajitahidi Nafasi Mmeipata
Tunawaombea Ingawa Kipigo Chake Ni Cha Mbwa Ko Ko
Acha upuuzi wako kwani Ally Ally anacheza pekeyake?Ila Ali Ali huwa anatupandisha presha mashabiki wa Yanga! Yaani hata huelewi siku hiyo ataamkaje. Kimo kinamtesa! Yaani viongozi wa Yanga walishindwa kabisa kumuona Bakary "Nondo" Mwamnyeto wa Coastal Union kweli!
Heheheeee!Ila Ali Ali huwa anatupandisha presha mashabiki wa Yanga! Yaani hata huelewi siku hiyo ataamkaje. Kimo kinamtesa! Yaani viongozi wa Yanga walishindwa kabisa kumuona Bakary "Nondo" Mwamnyeto wa Coastal Union kweli!
Acha upuuzi wako kwani Ally Ally anacheza pekeyake?
Small minds kichwa kidogo unawaza ngono jibu swali acha mbwembwe mtoto wa kikeKama huyo Ali Ali ni mchumba/mume wako, basi usisahau kumfikishia salamu zangu! Hatoshi kuichezea Yanga.
Mmejaaliwa maneno sana Mtani. Tunayapokea yote. 😀Mtani una bahati sana..Umetoka klabu bingwa, Umeangukia Shirikisho Afrika, na Umetoka Shirikisho Afrika Umeangukia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa..[emoji23]
Walipo Pyramid na Simba SC wapo.
Small minds kichwa kidogo unawaza ngono jibu swali acha mbwembwe mtoto wa kike
Mmejaaliwa maneno sana Mtani. Tunayapokea yote. 😀
😀😀😀Hata wao udsongo kwasitiri maana zile 6 alizo kula udsongo sijui wao wange kula ngapi huko sauzii
Wewe bibi jiangalieAtakapowasili, usisahau kwenda kumpokea uwanja wa ndege na maua! Sawa!! Ila mwisho wa siku umwambie hana sifa ya kuichezea Yanga, maana ni mchezaji wa kiwango cha kawaida sana! Bora hela ya usajili wake, ingetumika kumlipa Dante deni lake.
Au wewe ndiyo Ali Ali mwenyewe nini!! Unaweza uka declare tu interest badala ya kutokwa na mapovu.
Wewe bibi jiangalie
Nyinyi ndio mikosi pale yangaMada imeshafungwa. Nimeshapata taarifa rasmi Ali Ali pamoja na wachezaji wengine, wameshawasili nchini. Nina imani utakuwa ulijipamba sana ulipoenda kumpokea pale terminal 3! 🚶🚶🚶🚶
Na pia ilikuwa klabu bingwa Afrika sio kombe la shirikisho, na ilikuwa ni hatua ya makundiNa utuambie alifika hatu gani?
Hakufungwa nje-ndani kama hawa.
Peke yake alipata point 15 na kufanya timu ziwe 4 kwenye mashindano.
Ngoja tuone hawa Jangwani
Mikia wanaumia Yanga kufungwa 3 badala ya 5.
Kibaya zaidi UD Songo kapigwa 6 mtungi na Bidvets ya Sauz.
Mshukuruni zahera kwa mikakati thabiti ya kuvaa kipensi hadi Uarabuni maana ile michirizi utamu yake iliwachanganya waarabu wakashindwa ku- concentrate uwanjani ndo wakaishia goli tatu, Ila vinginevyo 7 zingewahusu hahahaaa hahahaaa...!!!!!!!!!!!!!!!!!aiseeee........Inaonekana Mbumbumbu zilitamani sana Yanga ifungwe goli 5.
No offense. Una mawazo ya kishoga sana jamaa yangu.Mshukuruni zahera kwa mikakati thabiti ya kuvaa kipensi hadi Uarabuni maana ile michirizi utamu yake iliwachanganya waarabu wakashindwa ku- concentrate uwanjani ndo wakaishia goli tatu, Ila vinginevyo 7 zingewahusu hahahaaa hahahaaa...!!!!!!!!!!!!!!!!!aiseeee........
Umepanic ki kike-kike flani hv Dogo.No offense. Una mawazo ya kishoga sana jamaa yangu.
Jitathmini ndugu yangu mtoto wa kiume unaanzaje kuwa na fikra za kutamani mapaja ya mwanaume mwenzako. Halafu unaamini mimi ndio niliepanic na sio wewe?! Maajabu hayajawahi kuisha.Umepanic ki kike-kike flani hv Dogo.