CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

Simba inabidi wajipange upya ili kurudisha zile Pointi 15 tulizozipoteza mwaka huu!!
 
Lakini ukiwngalia yanga wanacheza kabumbu safi
 
mwaka jana SIMBA na AL AHLY HALF TIME RESULT: SIMBA 0 AL AHLY 5. hahaha hapo ndio utakapojua simba ilivyo mbovu
 
mwaka jana SIMBA na AL AHLY HALF TIME RESULT: SIMBA 0 AL AHLY 5. hahaha hapo ndio utakapojua simba ilivyo mbovu
Na utuambie alifika hatu gani?
Hakufungwa nje-ndani kama hawa.
Peke yake alipata point 15 na kufanya timu ziwe 4 kwenye mashindano.
Ngoja tuone hawa Jangwani
 
mwaka jana SIMBA na AL AHLY HALF TIME RESULT: SIMBA 0 AL AHLY 5. hahaha hapo ndio utakapojua simba ilivyo mbovu
Hongera mkuu kwa kufuzu hatua ya makundi shirikisho Africa, kwa kweli mna timu nzuri sana Simba haioni ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…