CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

Simba inabidi wajipange upya ili kurudisha zile Pointi 15 tulizozipoteza mwaka huu!!
 
Lakini ukiwngalia yanga wanacheza kabumbu safi
 
mwaka jana SIMBA na AL AHLY HALF TIME RESULT: SIMBA 0 AL AHLY 5. hahaha hapo ndio utakapojua simba ilivyo mbovu
 
mwaka jana SIMBA na AL AHLY HALF TIME RESULT: SIMBA 0 AL AHLY 5. hahaha hapo ndio utakapojua simba ilivyo mbovu
Na utuambie alifika hatu gani?
Hakufungwa nje-ndani kama hawa.
Peke yake alipata point 15 na kufanya timu ziwe 4 kwenye mashindano.
Ngoja tuone hawa Jangwani
 
Back
Top Bottom