Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Watasonga ugali.Sawa mtasonga mbele Vyura FC
link jamani
Iko nyinginechini hapoMkuu link imeishia first half mbona
Mkuu mbona unateseka na Yanga?mchumba wenu aliyewachumBia amepigwa aggregate ya 7-1Ni kweli mkuu sisi tunafuzu makundi leo.
Yes washapigwa 2-0
Ushindi wa Yanga Leo ni kutokufungwa goli tano.
azam vp mbona hawaonyeshi
Sasa hv sio kupindua meza ila kuijadili SimbaSimba wangecheza na Pyramids sasa hivi tungekuwa tunahesabu goli la 6
Pindueni meza.. mwende makundi acheni porojoMkuu mbona unateseka na Yanga?mchumba wenu aliyewachumBia amepigwa aggregate ya 7-1
Kwa hiyo Yanga wameshawafunga Mkuu?Hawa mafarao wanacheza mpira wa kawaida sana.Nadhani tuliwa rate kwa ukubwa usio wao