uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Simba yangu!!Wamemaliza confederation, wanahamia champions League hivi karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba yangu!!Wamemaliza confederation, wanahamia champions League hivi karibuni
Twende kazi
Wako live namba 3Mi naangalia kupitia chaneli ya Azam ila nadhani kwenye channel ya CAF YouTube watakuwa live.
Azam kwenye channel yao waliosema watarusha live hii draw, bado wanaonesha marudio ya mechi ya jana
Tuko kama wote muleWabongo wameshindikana kwenye page za caf
Comment 20 za wabongo, 1 ya watu wengine ikifuatiwa na 30 za wabongo tenaTuko kama wote mule
Kwenye ligi yao kuna CR belouizdad na JS kabylee kama sijakosea kuwatoa wale wamba nafasi ya 1 na 2 sio kitotoHivi kwanini USMA bado wapo kwenye shirikisho?
Mbna hutowei update sasaMajira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata updates zaidi.
Mkuu weka update kwenye front page kuleGroup 1 Confederation
Group B
- USMA
- Future
- Supersport
- Al HILAL
Group c
- ZAMALEK
- Sagrada
- S.O.AR (GUI)
- ABU SALIM
Group D
- RIVERS UNITED
- CLUB AFRICAIN
- DREAMS FC
- APC LOBITO
- RS BERKANE
- DIABLES NOIRS (CGO)
- STADE MALIEN
- SEKHUKHUNE UNITED
kwanini mkuu?Wabongo tuna changamsha sana soka la Africa, kwa vyovyote ni challenge kwa Caf kuangalia ni namna gani ya kufanya vilabu vyetu visonge mbele kwenye michuano ya Caf