Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa..Baltazari ni wa Equatorial Guinea..nchi pekee ya Africa iliyotawaliwa na Waspain na kispainish ndio lugha KUUBaltasar atakuwemo kwenye msafara
Ila wewe jamaa wa yanga bhana,acha stress man mkataa kwao ni mtumwaMpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu
Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup
Timu letu linapewa hamasa
Likishinda Kuna watu wanajipa hati miliki Bora lifungwe ili wote tunune
Kibiashara Taifa stars haitazamwi kama Guinea
Guinea ina professional wengi wanaocheza Europe
Yaani CAF waipitishe timu lililojaza wachezaji wa KMC, Mashujaa na Dodoma Jiji
Me nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea
Dua hii ipate yanga makundi!Mpira ni biashara

CHAUMA ni chama cha nini mkuu?!Haswaaa
Sisi CHAUMA tunaona Taifa stars kama haituhusu
Mwakani nitahudhuria jando festival kijijini mkongotema HVYO huko kizmkaz utaniwakilisha mkuu.J😄😄
Mwakani hatukupeleki kizimkazi festival
Karibu Mkongotema utaona zaid ya mambo yote, Tamasha litafana MPAKA mama kizimkazi ataanguka stejiniKizimkazi ndo mambo yote
Wewe nani kakwambia stars hawajapata sare, Afcon iliyopita tulipata sare na wazambia then tukatoa sare na DRC CongoMpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu
Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup
Timu letu linapewa hamasa
Likishinda Kuna watu wanajipa hati miliki Bora lifungwe ili wote tunune
Kibiashara Taifa stars haitazamwi kama Guinea
Guinea ina professional wengi wanaocheza Europe
Yaani CAF waipitishe timu lililojaza wachezaji wa KMC, Mashujaa na Dodoma Jiji
Me nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea
Yanga yupo nafasi ya pili,bingwa bado!Yanga bingwa