Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa shabiki wa BaltazarMpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu
Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup
Timu letu linapewa hamasa
Likishinda Kuna watu wanajipa hati miliki Bora lifungwe ili wote tunune
Kibiashara Taifa stars haitazamwi kama Guinea
Guinea ina professional wengi wanaocheza Europe
Yaani CAF waipitishe timu lililojaza wachezaji wa KMC, Mashujaa na Dodoma Jiji
Me nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea
Ikitokea imefuzu tutakupeleka kwa Baltazary.Mpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu
Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup
Timu letu linapewa hamasa
Likishinda Kuna watu wanajipa hati miliki Bora lifungwe ili wote tunune
Kibiashara Taifa stars haitazamwi kama Guinea
Guinea ina professional wengi wanaocheza Europe
Yaani CAF waipitishe timu lililojaza wachezaji wa KMC, Mashujaa na Dodoma Jiji
Me nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea
Chura hawezi kua BaltasaryBaltasary ndo Mimi mwenyewe
aombe tu ishideBaada ya ushindi wa ethiopia mwanaFA anamshukuru mama..
Na safari yetu imeishia hapo.
Nataka na tukitolewa kesho AMLAUMU huyo mama yao
Mkuu, Balthazar anatokea Equatorial GuineaMpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu
Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup
Timu letu linapewa hamasa
Likishinda Kuna watu wanajipa hati miliki Bora lifungwe ili wote tunune
Kibiashara Taifa stars haitazamwi kama Guinea
Guinea ina professional wengi wanaocheza Europe
Yaani CAF waipitishe timu lililojaza wachezaji wa KMC, Mashujaa na Dodoma Jiji
Me nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea
Tuwe makini wasije wakatu baltasary kesho pale taifa 🤣🤣🤣🤣Mpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu
Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup
Timu letu linapewa hamasa
Likishinda Kuna watu wanajipa hati miliki Bora lifungwe ili wote tunune
Kibiashara Taifa stars haitazamwi kama Guinea
Guinea ina professional wengi wanaocheza Europe
Yaani CAF waipitishe timu lililojaza wachezaji wa KMC, Mashujaa na Dodoma Jiji
Me nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea
Huko bwawani?Huko kwenu umbumbumbuni ligi imekwisha?
Kumbuka mbumbumbu yupo mashindano ya akina mamaHatA mimi nilikuwepo kwenye press yao walizugumzia pia kuwa hawawezi kukubali Yanga Africans waingie Robo kwA Team mvovu kama ile iliyofungwa na Tabora miguu ya Bajaj wakamaliza na swala la kuhama Uwanja wamewaambia wametoa maagizo kwa Tff wawaruhusu kutumia uwanja wA Kaunda pale jangwani ili kuepusha usumbufu kwa mashabiki wake.
Ndo walivyosema Caf ?Kumbuka mbumbumbu yupo mashindano ya akina mama