Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Baltasar ni wa equatorial Guinea, sie tuna cheza na GuineaMwamba yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baltasar ni wa equatorial Guinea, sie tuna cheza na GuineaMwamba yupo
PoliticsMpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup
Timu letu linapewa hamasa
Likishinda Kuna watu wanajipa hati miliki Bora lifungwe ili wote tunune
Kibiashara Taifa stars haitazamwi kama Guinea
Guinea ina professional wengi wanaocheza Europe
Yaani CAF waipitishe timu lililojaza wachezaji wa KMC, Mashujaa na Dodoma Jiji
Me nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea
Kuna Guinea tatu. Equitorial Guinea, Guinea Bissau na Guinea kavu. Usiwe mvivu nenda ka-google ujue Baltazary anatoka guinea ipi mshamba wewe ngara23Mpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup
Timu letu linapewa hamasa
Likishinda Kuna watu wanajipa hati miliki Bora lifungwe ili wote tunune
Kibiashara Taifa stars haitazamwi kama Guinea
Guinea ina professional wengi wanaocheza Europe
Yaani CAF waipitishe timu lililojaza wachezaji wa KMC, Mashujaa na Dodoma Jiji
Me nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea
Engonga ni Equatorial Guinea 🇬🇶 hii ni Guinea 🇬🇳 ConakryMpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup
Timu letu linapewa hamasa
Likishinda Kuna watu wanajipa hati miliki Bora lifungwe ili wote tunune
Kibiashara Taifa stars haitazamwi kama Guinea
Guinea ina professional wengi wanaocheza Europe
Yaani CAF waipitishe timu lililojaza wachezaji wa KMC, Mashujaa na Dodoma Jiji
Me nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea
Hahahaha 🤣 🤣 🤣We unaamini Mimi silijui hilo?
Viongozi wanafahamu fika,Tatizo timu ya Taifa imeanza kuvalishwa koti la siasa,tayari watanzania wameanza kugawanyika juu ya timu ya Taifa
NakaziaUkikua utaacha ujinga
kufungwa siyo tatizo,tatizo ni wanasiasa kuifanya timu ionekane ya kiccemu,wacha wapigwe tuHakika
Yaani niseme ukweli, siipendi hii timu
Inafungwa ovyo
Niko upande wa spider man mpinmpin CamaraMashabiki wa Guinea tupo
Hahaha umejinyea bora usingeandikaMe nasimama na timu Baltasary Engonga, Guinea