Zahera kawajaza ujinga mwingi sana. Itafika hata wakishindwa kuwatia mimba wake zao watailaumu TFF na CAF na hata FIFA.Nyie Yanga hata pongezi kwa Simba SC hamtaki, kwani nyie mnakwama wapi?[emoji23]
Hatereti your going kimalika cha wapi hicho? Kimeandikwa na Manula nini?
Sa mkipika ujinga tusiseme?Hater
Imenibd niingie Twitter Account ya Caf sjaona kitu kama hicho aisee
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, kupitia ukurasa wake wa Twitter wameipongeza Simba SC na kuongeza kuwa klabu hiyo inaenda hatua nyingine ya kuwa Vigogo wa soka Afrika.
"Hongera Simba SC Tanzania, hii hatua nyingine sasa mnaenda kuwa vigogo wa Afrika hongereni sana".View attachment 1174577
Kiongozi, kweli unaamini hao ni CAF na hiyo broken English? Dah!Shirikisho la soka barani Afrika CAF, kupitia ukurasa wake wa Twitter wameipongeza Simba SC na kuongeza kuwa klabu hiyo inaenda hatua nyingine ya kuwa Vigogo wa soka Afrika.
"Hongera Simba SC Tanzania, hii hatua nyingine sasa mnaenda kuwa vigogo wa Afrika hongereni sana".View attachment 1174577