Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. Tatizo mechi ni jumamosi na Weekend nakuwa busy na mambo mengine Dada. Wajua tena. 😜😜[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usisingizie umeme kukatika tu
Hapa ntatokea jumanne mana jumatatu nayo ni Holiday. Labda mambo yasibane ndio mtaniona hapa japo kama nawaona mtakavyokuwa busy kufuatilia timu ya Wananchi. Huku mkisema Shadee kakimbia. 😅😅