Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
CAF ya wapi?CAF waandike kiingereza cha mtaani eti boyz.Hamjui hata kufoji.Shirikisho la soka barani Afrika CAF, kupitia ukurasa wake wa Twitter wameipongeza Simba SC na kuongeza kuwa klabu hiyo inaenda hatua nyingine ya kuwa Vigogo wa soka Afrika.
"Hongera Simba SC Tanzania, hii hatua nyingine sasa mnaenda kuwa vigogo wa Afrika hongereni sana".View attachment 1174577