CAF watoa Kongole kwa Simba SC, Yanga wajibu kuwa CAF wamefanya upendeleo na ubaguzi

CAF watoa Kongole kwa Simba SC, Yanga wajibu kuwa CAF wamefanya upendeleo na ubaguzi

mbona "MO" KAIPONGEZA YANGA HILO HAMLISEMI??
IMG_20190807_174641_358.jpeg
 
Nyie Yanga hata pongezi kwa Simba SC hamtaki? This Is Next Level, NguvuMoja.. kwani nyie mnakwama wapi?[emoji23]

Wameshindwa kumpa jibu kikwete kwenye mkutano wao wakikupa jibu comment hii pls ni tag nisome majibu yao
 
Kwenye comment yangu ya kwanza niliandika Level, kama utaona hapo..Ila kwa mbwembwe za CAF kwenye bandiko waliandika Levels

Kwahivyo walize CAF? Mimi sipo Misri makao makuu ya CAF, mimi nipo Kiembesamaki[emoji23][emoji23]
Sio Next Levels?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
CAF hawawezi kuandika kiingereza kibovu namana hiyo. Hao ni wahuni wa tandale tu.
 
Back
Top Bottom