DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Mbona kama mumekasirika!!!!HABARI YA KUEDIT HIYO HAINA UKWELI WOWOTE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama mumekasirika!!!!HABARI YA KUEDIT HIYO HAINA UKWELI WOWOTE
Ulitaka niandike kimalkia?Kimalika ndio nini mkuu?
Fake tweet hiyoMbona hiyo account ya CAF ni verified
Nyie Yanga hata pongezi kwa Simba SC hamtaki? This Is Next Level, NguvuMoja.. kwani nyie mnakwama wapi?[emoji23]
CAF wamefuta baada ya kuona inaweza kupeleka Yanga kujitoaImenibd niingie Twitter Account ya Caf sjaona kitu kama hicho aisee
Basi Yanga watasema waliedit..CAF wamefuta baada ya kuona inaweza kupeleka Yanga kujitoa
Wa Buza..[emoji23] [emoji23] "boyz"Hao Caf wa wapi mkuu?
Sio Next Levels?😀😀😀Tatizo Vyura mnapenda kusafiria nyota ya Simba SC, Simba ni Next Level
KWA SABABU HATUPENDI HABARI ZA UZUSHI/UDAKUMbona kama mumekasirika!!!!
Sio Next Levels?[emoji3][emoji3][emoji3]
MASHABIKI KINDAKINDAKI WA DAR YOUNG AFRICANSAmbao Hampendi...Akina nani? Members, Wadau,au Mods?