CAF watoa Kongole kwa Simba SC, Yanga wajibu kuwa CAF wamefanya upendeleo na ubaguzi

CAF watoa Kongole kwa Simba SC, Yanga wajibu kuwa CAF wamefanya upendeleo na ubaguzi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usisingizie umeme kukatika tu
Hahaaa. Tatizo mechi ni jumamosi na Weekend nakuwa busy na mambo mengine Dada. Wajua tena. 😜😜

Hapa ntatokea jumanne mana jumatatu nayo ni Holiday. Labda mambo yasibane ndio mtaniona hapa japo kama nawaona mtakavyokuwa busy kufuatilia timu ya Wananchi. Huku mkisema Shadee kakimbia. 😅😅
 
Isije kuwa msemaji caf kasindikiza wageni mtoto wake kachukua simu na kupost [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaa. Tatizo mechi ni jumamosi na Weekend nakuwa busy na mambo mengine Dada. Wajua tena. [emoji12][emoji12]

Hapa ntatokea jumanne mana jumatatu nayo ni Holiday. Labda mambo yasibane ndio mtaniona hapa japo kama nawaona mtakavyokuwa busy kufuatilia timu ya Wananchi. Huku mkisema Shadee kakimbia. [emoji28][emoji28]
Hahahah ebu acha visingizio vyako bwana kesho tuwe wote hapa
 
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, kupitia ukurasa wake wa Twitter wameipongeza Simba SC na kuongeza kuwa klabu hiyo inaenda hatua nyingine ya kuwa Vigogo wa soka Afrika.
"Hongera Simba SC Tanzania, hii hatua nyingine sasa mnaenda kuwa vigogo wa Afrika hongereni sana".View attachment 1174577
Iliterate and idiot threads! !
 
Yanga wanapitia kipindi kigumu.. Ukata umetawala lkn wanajikaza kiume....
 
Back
Top Bottom