Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, kupitia ukurasa wake wa Twitter wameipongeza Simba SC na kuongeza kuwa klabu hiyo inaenda hatua nyingine ya kuwa Vigogo wa soka Afrika.
"Hongera Simba SC Tanzania, hii hatua nyingine sasa mnaenda kuwa vigogo wa Afrika hongereni sana".
"Hongera Simba SC Tanzania, hii hatua nyingine sasa mnaenda kuwa vigogo wa Afrika hongereni sana".