CAF watoa Kongole kwa Simba SC, Yanga wajibu kuwa CAF wamefanya upendeleo na ubaguzi

CAF ya wapi?CAF waandike kiingereza cha mtaani eti boyz.Hamjui hata kufoji.
 
Fake ID.. mnajitekenya na kucheka wenyewe, ndio maana mkaitwa mbumbumbu fc
 
Yani hawa mbumbumbu wana mihemko ya kidwanzi sana
Na huo ujinga waliuamini hadi kuuanzishia uzi??
 
Ipo siku tuendelee kuzifanyia kazi ndoto tulizoota vyura ndio kwanza hawajaanza hata kuota Simba 💪
 
mbona twits zote 2 ni kama feki?
ya "kuwapongeza" mbumbumbu fc na ile ya "kuponda" kutoka kwa vyura fc... zote ni kama feki fulani!!
 
Mbona kama povu? Ulitaka CAF wakukumbuke kwa lipi wewe Chura [emoji196]?
Yani hawa mbumbumbu wana mihemko ya kidwanzi sana
Na huo ujinga waliuamini hadi kuuanzishia uzi??
 
kweli simba fc ni kusanyiko la mambulula na vibaka, yaani adi huruma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…