Hahaaa. Tatizo mechi ni jumamosi na Weekend nakuwa busy na mambo mengine Dada. Wajua tena. ππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usisingizie umeme kukatika tu
Hahahah ebu acha visingizio vyako bwana kesho tuwe wote hapaHahaaa. Tatizo mechi ni jumamosi na Weekend nakuwa busy na mambo mengine Dada. Wajua tena. [emoji12][emoji12]
Hapa ntatokea jumanne mana jumatatu nayo ni Holiday. Labda mambo yasibane ndio mtaniona hapa japo kama nawaona mtakavyokuwa busy kufuatilia timu ya Wananchi. Huku mkisema Shadee kakimbia. [emoji28][emoji28]
π π πHahahah ebu acha visingizio vyako bwana kesho tuwe wote hapa
Iliterate and idiot threads! !Shirikisho la soka barani Afrika CAF, kupitia ukurasa wake wa Twitter wameipongeza Simba SC na kuongeza kuwa klabu hiyo inaenda hatua nyingine ya kuwa Vigogo wa soka Afrika.
"Hongera Simba SC Tanzania, hii hatua nyingine sasa mnaenda kuwa vigogo wa Afrika hongereni sana".View attachment 1174577
Next Level