Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Hata tukicheza kwenye bwawa la kambale bodo tutawafunga tu.Wakuu!
CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
CAF imesema uamuzi huo ni baada ya kujiridhisha na ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa katika vipindi vya mvua.
Dah! Watu walishafukia mbuzi wao kitambo! Inakuwaje wakafukuliwe na kuhamishiwa Zanzibar? Na muda wenyewe wa kufanya hivyo hata hautoshi!Simba hatupeleki timu, huko Zanzibar tutaingiza vipi mbuzi?
Ndio imeshakua hivyo, labda cha kushauri madumu ya mafuta ya upako na viloba vya chumvi vinavyo tumiwa na Simba kupata ushindi, Haraka vianze kupelekwa Aman Stadium kwa matumizi ya mechi ya marudianoNitakuwa wa mwisho kuamini hizi taarifa mpaka nione source inayoeleweka
Na ndivyo ilivyo, hili la kulazimisha kucheza sehemu fulani, sio CAF labda wengine wamehusika kushinikiza. LolTaarifa za uzushi hizi, CAF siku zote wakiona kiwanja ulichochagua hakina vigezo wanakuambia uchague kiwanja kingine ili kucheza mechi yako. Iweje leo iwe tofauti na kuamuru mechi ichezwe sehemu fulani. Mm nakataa kabisa na nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hili.
Ni propaganda za kutaka kututoa mchezoni tu. Wanataka kuvuruga watu wasijae uwanjaniNa ndivyo ilivyo, hili la kulazimisha kucheza sehemu fulani, sio CAF labda wengine wamehusika kushinikiza. Lol
mkuu una hiyo barua ya caf ambayo inaelezea kubadilika kwa venue?CAF WAPO SAHIHI, NO JANJA JANJA
Hatu hadaikii kamwee. LolNi propaganda za kutaka kututoa mchezoni tu. Wanataka kuvuruga watu wasijae uwanjani
Madhara ya kushabikia kifo cha magufuliGarson Msigwa uliwadanganya watanzania kwamba uwanja umekarabatiwa?
SINAmkuu una hiyo barua ya caf ambayo inaelezea kubadilika kwa venue?
Sasa itakuwaje wakati tushaandaa mbuzi na waganga wetu pale,,Ina maana berkane na wao wametufanyia ubaya ubwela sijui nani kawapa za ndani kwamba pale kwa mkapa uwa tunafanya mambo yetu na tukicheza kwingine mambo yanakuwa magumu🤣🤣🤣Wakuu!
CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
CAF imesema uamuzi huo ni baada ya kujiridhisha na ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa katika vipindi vya mvua.
Nyinyi na mlaanike tu...Dah nilishapanga kwenda Taifa kucheki hii game naona uchawi sasa.
Au Yanga hawa wanataka tiketi siziuzike.
Kombe ni la Simba mwaka huu hata tucheze baharini ni Simba anabeba kombe.Nyinyi na mlaanike tu...
Laana ya kukimbia derby na iwatafune Maisha