Unavyoongea utafikiri CAF ni Bodi ya ligi ππ MAJAYANTI WANAOGOPA UWANJA WALIOUCHAGUA WAO.Wa kuwajibishwa ni wengi. Timu haiwezi kupoteza uenyeji wa fainali ya CAF kizembezembe. Ninaamini ikifika Jumatatu hili litakuwa limetenguliwa.
KWENYE OFFICIAL WEBSITE YA CAF WAMEANDIKA MECHI YA SECOND LEAGUE FINAL ITACHEZWA DAR ES SALAAAM BENJAMINI MKAPA.
Hata kama mimi ni berkane sikubali kuchezea uwanja mvua ikinyesha unakua katika hali ileUwanja wa taifa ulitia aibu sana kwa yale matope.
Hata ingekuwa wewe ndio caf. Usingekubali kwa yale madimbwi
Ilibidi itoke sababu simba walishaanza kuuza tiketi za uwanja wa mkapa ilihali ulikua umefungiwaHapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi
Kwani mzee Mpili anasemaje?πZanzibar hatuchezi!!!! In uto voice π π
Kombe kwaheri.... Tuliroga sana kwa Mkapa, mmejua kutufelishaWakuu!
CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
Pia, Soma: Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa
CAF imesema uamuzi huo ni baada ya kujiridhisha na ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa katika vipindi vya mvua.
Mkuu haujachelewa, jifunze kuandika pale Taasisi ya Elimu ya Watu WazimaBaadae ya CAF kuwajibu SIMBA SC
HAHA BERKANE WAMETOA TAARIFA IWE MVUA IWE JUA WASINGECHEZA AKWA MKAPA
KWA WALICHOKIONA MECHI YA AL MASRY KAMWE WASINGETUA HAPO DAR
HATA HIVYO WAMEUSIFIA SANA UWANJA WA NEW AMAN STADIUM NA WAMESEMA WANAFURAHIA KWENDA ZNZ KISIWA CHA AMANI
MMMH NKASEMA WALIKUWA WANAFWATILIA DERBY YA TAR 8 NN MAANA BODI ILIJICHANGANYA HAKUNA USALAMA MOJA YA SABABU KUHAIRISHA WOII
KARIBUNI SANA KISIWA CHA MARASHI YA KARAFUUUUUUU
KARIBUNI MPATE UROJO
MPATE VYAKULA MANTASHAL HAMJAWAHI KULA
HII NDIO
ZNZ
π€£π€£π€£π€£Mkuu haujachelewa, jifunze kuandika pale Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima