Happycuit
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 646
- 542
Kamati ya nidhamu ya CAF imeipiga faini klabu ya Yanga ya jumla ya dola za Kimarekani elfu 35 ($35,000) kiasi kama milioni 80.5 za Kitanzania kwa makosa makubwa 2.
1. Matumizi ya fataki kwenye mchezo dhidi ya Rivers United ya Nigeria dola 10,000
2. Tukio la basi la timu kuvamiwa kuibiwa pesa ($5,200) na harufu mbaya inayosemekana kuwa na sumu, dola 25,000.
Aidha Yanga kwakuwa kwao kwenye nusu fainali ya CAFCC wanapaswa kuhakikisha usalama wa timu pinzani (Marumo Gallants) wakati wa mchezo kwakuwa kiwanja cha Benjamin Mkapa kimekuwa kikiripotiwa kwa matukio ya namna hii.
BIN KAZUMARI MTIPA ( The voice of the voiceless)