CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

Wewe ndiye unayelete story za vijiweni. Mimi nimekuonyesha assets za Yanga, wewe sijui unazungumzia hela ipi uliyoiona au document ipi uliyoiona?
Jitafakari. Wewe ndiye unayeleta story za kijiweni.
Mbona unazunguka leta data,hayo maneno mtu yoyote anaweza sema.
 
Wapi Raja casablanca,enyimba etc,hizi takwimu zitakuwa zimetolewa na haji manara si bure

Sent using Jamii Forums mobile app

ha ha ha simba tajiri kuliko mamelodi sundowns, enyima, es setif, el hilal, raja casablanca, asec mimosas, canon younde, kaizer chiefs, wydad casablanca, etoil du sahel.... simba ni nguvu moyaaaa.. in zaheras voice
 
enyimba stadium.. weka mikia stadium

ndege ya Tp mazembe.. weka ndege ya mikia.. au bombadia

Mbona unazunguka leta data,hayo maneno mtu yoyote anaweza sema.
Unaelewa maana ya data?
Data siyo maandishi au document. Nilizokupa ni data. Samahani, jiongeze kidogo utanielewa.
 
Sio kuja tuu mi nimezaliwa mwananyamala hospital...hivi jangwani pale ni kariakoo,kwaio hata Hidden,Mbuga,Muddy wanaofundisha twisheni kule wapo kariakoo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuzaliwa Dar ukashabikia Simba. Samahan, je wewe ni muhindi au mmanga?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Kwa kipi hasa?
 
Wadau nashindwa kuelewa uongozi wa simba kabisa hivi kweli simba mda wote uo wanashindwa kutengeneza uwanja ule wa bunju yani ukipita pale unakuta miti kama yote imeota unajua simba ni klabu kubwa sana nashindwa kuelewa kwa nini kuna ukakasi kwenye hili swala la uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni zaidi ya umbumbumbu
 
ha ha ha simba tajiri kuliko mamelodi sundowns, enyima, es setif, el hilal, raja casablanca, asec mimosas, canon younde, kaizer chiefs, wydad casablanca, etoil du sahel.... simba ni nguvu moyaaaa.. in zaheras voice
Duh,ficha uzwazwa wako.

Canon Yaoundé Mara ya mwisho kuisikia ljni?,asec mimosasa nayo tajiri?enyimba ya sasa nayo tajiri?ptuuu ficha uchi mzee
 
Duh,ficha uzwazwa wako.

Canon Yaoundé Mara ya mwisho kuisikia ljni?,asec mimosasa nayo tajiri?enyimba ya sasa nayo tajiri?ptuuu ficha uchi mzee

weka asset ya simba yeyote.. hata ghorofa la kariakoo ha ha ha,,, uwanja wa enyimba huu apa mabilioni yametumika .. weka wa kwenu matajiri matajiri

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…