AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
- Thread starter
-
- #141
Utajiri wa simba now ni USD 10 sawa na bilioni 20 za kibongo plus assets zenye thamani ya bilioni 7mbona unalikimbia hili swali.. zinajulikana na nani??
wewe mleta hoja tupe majibu.. tuambie simba inamiliki hiki na hiki vina value ya kiasi fulani na simba ina pesa bank kiasi fulani..
usikimbie swali
Cash USD milioni 10
Utajiri wa simba now ni USD 10 sawa na bilioni 20 za kibongo plus assets zenye thamani ya bilioni 7
Naomba nipe jibu lamaana Emirates niwa nani arsenal au emiretsUwanja si kigezo cha utajiri wa timu,
Maana hata arsenal ,emirates sio uwanja wao 100% ni wa shirika la emirates kwa mkataba hadi 2022
Acha uongo Arsenal wamemaliza deni 2014.Uwanja si kigezo cha utajiri wa timu,
Maana hata arsenal ,emirates sio uwanja wao 100% ni wa shirika la emirates kwa mkataba hadi 2022
IPO hapo now ,uwekezaji wa bilionj 20+ bilioni 7 za assetsNaikatia rufaa hii ripoti,Simba inaelekea huko haijafika huko.
Emirates umekodishwa kwa arsenal
Kasome vizuri ule mkataba shekhe ,unaisha 2022Acha uongo Arsenal wamemaliza deni 2014.
Emirates yupo kama Stadium Sponsor na Shirt sponsor, alilipa pesa kuendelea kuuza jina kupitia uwanja na jezi.
Shekhe hisa alizonunua mo dewji zinaukwasi huo,plus thamani ya assets za klabu bilioni 7ha ha ha weka link ya kusapot maelezo yako
Karibu
Shekhe hisa alizonunua mo dewji zinaukwasi huo,plus thamani ya assets za klabu bilioni 7
Sijafuatilia hill,labda uniambie wewe
Ila usije na nadharia ya kuufananisha na emirates hizo huenda zikawa kesi mbili tifauti
Kweli uko nyuma sana ya wakati.ha ha ha dewji kanunua hisa kalipa pesa lini.
ha ha ha account ya simba ipo bank gani yenye huo ukwasi.. wengine bankers humu wachungulie
na hizo asset hazina hata picha .. au nikusaidie picha za ghorofa kariakoo na bus la simba, na uwanja bunju ha ha ha
Kweli uko nyuma sana ya wakati.
Inamaana hujui kuwa now simba imeuza sehemu ya umiliki wake kwa mo dewji kwa thamani ya bilioni 20? Huko uliko hausomagi au haupatagi taarifa za michezo za toka mwaka 2015 ?? Ebu jaribu kufuatilia aisee utakuta na mavideo yamewekwa huko Sikh alipothibitihsa kua amedeposit kwenye bank ya equity bilioni 20 cash.
Tayari aisee,ile kamati ya kina jaji mihayo moja ya masharti waliyokuwa nayo ili kumpata mwekezaji ni kujirudhishaa hzo pesa zipo,yani zimetengwa kabisa kwenye acc maalumu,kitu ambacho ndugu mo alikifanya,ndio akakabidhiwa .bado hawajalipwa pesa.. wamepanga kuuza ila bado.. hawajauza.. mimi sio mwanasimba ila nalijua hili