BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Wananchi robo fainaili hiyoooo!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 3117061
View attachment 3117057
View attachment 3117065
View attachment 3117058
The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT.
Live Updates...
View: https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk
CAF CONFEDERATION CUP GROUPS
View attachment 3117727
. 🏆
1️⃣|Tp Mazembe
2️⃣|Yanga
3️⃣| Al Hilal SC
4️⃣|Mc Algier
Sidhani kama Simba watakuwa na confidence, hawawajui wapinzani waoKama unakubali Mnyama anatoboa mechi zote gonga like hapa
CAF CL?Ikipangwa hivyo Simba tutamaliza top of the group points14
Naona damu tu dadeki...Group A
TP MAZEMBE
YANGA
MC ALGER
AL HILAL
Tusubirie tuone maana mpira unadunda 😃
Wa mwituni🤣🤣🤣Simba Bingwa
Uzuri ni kwamba hatupo kwenye shindano moja.Kuna mchezo naanza kuuhisi,
kwanini Simba ipangiwe matimu magumu alafu hawa Vyura wapewe Timu rahisi huyu Hersi kajipenyeza huko Caf kwa makusudi kabisa.
GSM anadhamini vilabu vingi huko Afrika.Kuna mchezo naanza kuuhisi,
kwanini Simba ipangiwe matimu magumu alafu hawa Vyura wapewe Timu rahisi huyu Hersi kajipenyeza huko Caf kwa makusudi kabisa.
Group la Yanga ni Group la kisasi