Tanzania unafiki umejaa CAG aache kitete asiogope asema ukweli hata kwa Rais wa sasa na makamu wake.Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Waseme Tu ukweli kwamba mwamba alituweka mfukoni , au wapige kimya waanze upya , waliopo wote hakuna wa kumlaumu mwenzake may be wote watoke tuanze upya.Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Hivi ndiyo Tanzania yetuWaseme Tu ukweli kwamba mwamba alituweka mfukoni , au wapige kimya waanze upya , waliopo wote hakuna wa kumlaumu mwenzake may be wote watoke tuanze upya .... Style ya kupondeana Kwa wanasiasa ni ya kawaida ili kupata trust ya wananchi , tena aliyeanzisha haya mambo ya kupondeana ni jiwe, aliyekuwa na busara alikuwa kikwete tuuu, Jiwe alipoingia alianza Kwa kuibua uozo wa kipind cha JK na akawa analaumu waz waz ...... As if yeye haikuwepo kwenye Baraza la mawazir for more than 20 yrs
Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?
Mbona nasikia ipo kwa yeyote kuipakuaCAG kunasehemu anaogopa kugusa
Hahahahah 🤣🤣🤣Tatizo mnajistukia sana
Yeye anataja Idara hataji Mtu, akisema TPA, akisema ATCL, akitaja Airport ya Chatto kamaliza, sisi wenyewe ndio tuna uchaguzi hiyo miradi ya Kimkakati tumtwishe nani lawama?...
Utakuwa umefanya la maana ili hawa Mataga tuwe tunawakun'guta kila wanaponyanyua vichwaNgoja tutafute report zake tusogeze humu
Nachojua mimi Wanasasiasa ni watu waongo na wazandiki sijawahi ona.Mi nauliza tu swali..huyu mama si alikuwa sehemu ya serikali ya awamu ya tano?.si tulimchagua yeye na magu kwa pamoja?..sasa iwaje yeye hahusishwi kwenye huu ufisadi?