CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

Samia akiendelea kusikiliza takataka kama hizi atapata tabu sana
Acha upumbavu wewe,kwani hapo kioichoandikwa ni kweli au sio kweli?

Pili Samia sio kama yule aliyekuwa analinda Ufisadi ukifichua unafukuzwa au kupotezwa.

CAG sema ukweli wote,Nchi ilifiliaika sana awamu ya 5 na wanufaika mpo ndio maana mnatokwa na mapovu sana.
 
CAG Azungumzie kipande cha reli kutoka
1. Tabora ~ Kigoma
2. Isaka ~ Tabora
Utaona madudu ya Samia
 
Bado hujafafanua vizuri nenda kasome upya hiyo habari maana kama imeandikwa na chombo cha habari cha nchi inayotumia shillings alafu kwenye kichwa cha habari umetumia trillion sh, alafu ndani ya habari umetumia maneno USD why,nenda kaisome tena habari utuambie Kwa lugha rahisi ilikopwa sh.ngapi na italipwa ngapi na yap makez wanalipwa na Nani.
 
Hivi angejumlisha hasara zote nchi nzima si zingekuwa Nonillion au Decillion maana hela zetu hata hesabu tunajua wenyewe

Mwakani alete takwimu zote mara moja yaani aseme tu tumejiibia kiasi hiki miradi yote maana tunashindwa kuzihesabu
 
Niambie huu ufisadi kwenye selikali ya mamako umechukuliwa hatua gani? Ni hii pumbavu stupid?

Si kila mtu ana mavi kichwani kama wewe
 
Niambie huu ufisadi kwenye selikali ya mamako umechukuliwa hatua gani? Ni hii pumbavu stupid?

Si kila mtu ana mavi kichwani kama wewe
Bado kwani umewahi kumuona mama anafanya maamuzi ya mihemko? Alisema watachukuliwa hatua baada ya Uchunguzi Kukamilika Sasa wewe una haraka ya nini Mzee?

Harafu hkumbuke CAG amejenga hoja na inahitaji majibu,kama majibu yasipojitosheleza DPP ataandaa mashtaka Kwa wahusika.
 
Mzalendo na Rais wa wanyonge, kwa mlango wa nyuma alikuwa anatunyonga huku tukishangilia. Serikali iitishe wito wa kimataifa haya matrilinloni yarejeshwe kama vile ilivyofanywa kwa Sani AbachaView attachment 2582428
Tenda ya uwazi ndo ip sio kila tenda ni lazima ipate mshindani , kuna single source tendaring
 
Tenda ya uwazi ndo ip sio kila tenda ni lazima ipate mshindani , kuna single source tendaring
Acha utoto basi ,Kwa hiyo PPRA na Kadogosa nani anajua taratibu za tenda na nani Huwa ana set njia za kufuata?
 
Umeandika kinyume
 
Awamu ya sita watajifichia kwenye mgongo wa awamu ya Tano mpaka wanamaliza muda wao.

Ila awamu itayofuata itawavua nguo.

Mleta habari amesahau sentesi moja tu kuwa Magufuli na Samia walisababishia hasara Taifa maana wakati Magu akiwa Rais Samia alikua makamu wake hivyo wametusababishia Hasara wote wawili.

Kwakua Samia yupo Sasa ni muda wa kutujibu fedha zimepoteaje maana mwenzake hayupo
 
nani kati ya hawa waliopo leo ni mgeni? hawa hawa walikuweko katika awamu iliyopita tena walikuwa kwenye nafasi za juu, sasa magufuli hayupo akamatwe nani?
 
Single source tendering ipo kwa mujibu wa Sheria kasome ww ndo uache utoto
Ndio nakwambia anayeweka standaiza wapi single source ifanyike ni ppra sio taasisi inayotaka kufanya ununuzi.

Single source pia haipo Kwa Ajili ya kutia hasara serikali Bali Kwa mazingira maalumu..

Mwisho yaani unapangiwa contractor na creditor Kwa Ajili ya nini hasa? Haya ndio madhara ya kudanganya ooh tunajenga Kwa pesa zetu matokeo yake ni commercial loans Zenye masharti ya kipumbavu kama haya na Jiwe hakuwa na options zaidi ya kunywea.
 
Kwani chawa wa mwendazake wanasemaje?
 
Uzalendo uchwara wa awamu iliyopita unazidi kuanikwa peupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…