CAG aibua ufisadi TPA ya Deus Kakoko, Ni mbaya kuliko wa Kigwangalla

Meko alikuwa mwizi....na sasa waliokuwa wanaiba pamoja lazima wafutiliwe mbali
 
Sisi tunajua kakoko katolewa sababu ya contena alizo ziwia za yule first lady wetu yule mjanja mjanja
 
Sisi tunajua kakoko katolewa sababu ya contena alizo ziwia za yule first lady wetu yule mjanja mjanja
Huo ni udhaifu wa kufikiria. Kasome kwanza CAG Report ndiyo uje uandike hapa
 
Duuh
 
Tulionya hapa mwaka Jana, tukapuuzwa
 
Eng Kakoko ni mtu smart sana hawamuwezi.Take my words.
 
Sawa!
 
Are you saying what.....?
 
Kimenukishwa tayari na Majaliwa, lakini kisiishie kwa Mkurugenzi wa Fedha na Mhasibu wa Matumizi. Lazima Deus Kakoko naye awajibishwe, au la tutaamini kuwa yasemwayo kuwa yeye ni mtu wa Meko ni ya kweli
Post yangu ya 28 December, 2020. Hatimaye jana mbuyu umekatwa
 
Kimenukishwa tayari na Majaliwa, lakini kisiishie kwa Mkurugenzi wa Fedha na Mhasibu wa Matumizi. Lazima Deus Kakoko naye awajibishwe, au la tutaamini kuwa yasemwayo kuwa yeye ni mtu wa Meko ni ya kweli
Kimeumana tayari, heko mkuu Stuxnet, maombi yako yamepokelewa
 
Nitashangaa sana kama TAKUKURU watashindwa kumfikisha Kakoko pamoja na wajumbe wa Bodi ya Bandari Mahakamani.

hawa watu wamekwapua fedha za walipa kodi hivyo wanapaswa wachukuliwe hatua za kisheria bila kusita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…