Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wiki zima mitandao ya jamii imemshupalia Dr Hamis Kigwangalla kwa ufisadi wa kutumia Tsh bilioni 2.58 bila idhini ya Bunge. Pengine Kigwangalla yuko kwenye "spotlight" kwa vile siku zote ni mtu wa majibizano kwenye mtandao ya jamii.
Sasa kuna manunuzi ya Tsh bilioni 22.69 yaliyifanywa na TPA ya Deus Kakoko. Katika DHAMBI au makosa makubwa ya manunuzi yanayo mhusisha mnunuzi moja kwa moja na RUSHWA ni kununua kwa SINGLE SOURCE.
Tumpunzishe Dr Kigwangala, tujikite na huyu Deus Kakoko anayejinasibu kuwa ni "home port" na JPM na huwa ana nguvu kuliko mawaziri wa wizara ya mawasiliano. Kumbuka alishindana na Waziri Mbarawa, na Mbarawa akang'oka.
View attachment 1413440
Hili lazima litokeeNitashangaa sana kama TAKUKURU watashindwa kumfikisha Kakoko pamoja na wajumbe wa Bodi ya Bandari Mahakamani.
hawa watu wamekwapua fedha za walipa kodi hivyo wanapaswa wachukuliwe hatua za kisheria bila kusita.
Huyo alikua anapewa ruhusa ya kutufisadi n mwendazake,yani team fisi woteKwa wiki zima mitandao ya jamii imemshupalia Dr Hamis Kigwangalla kwa ufisadi wa kutumia Tsh bilioni 2.58 bila idhini ya Bunge. Pengine Kigwangalla yuko kwenye "spotlight" kwa vile siku zote ni mtu wa majibizano kwenye mtandao ya jamii.
Sasa kuna manunuzi ya Tsh bilioni 22.69 yaliyifanywa na TPA ya Deus Kakoko. Katika DHAMBI au makosa makubwa ya manunuzi yanayo mhusisha mnunuzi moja kwa moja na RUSHWA ni kununua kwa SINGLE SOURCE.
Tumpunzishe Dr Kigwangala, tujikite na huyu Deus Kakoko anayejinasibu kuwa ni "home port" na JPM na huwa ana nguvu kuliko mawaziri wa wizara ya mawasiliano. Kumbuka alishindana na Waziri Mbarawa, na Mbarawa akang'oka.
View attachment 1413440
Hii ripoti ya CAG ndio inasumbua, mama amebadilisha Utawala Ila nao wanazingua hawataki kuchukua hatua hii inakera na ndio maana kamuambia Waziri wa Ujenzi kama hatachukua hatua basi ajipime hiyo nafasi kama inamfaa.Huyu Deus Kakoko bado hatujamalizana
CCM hawana uwezo wa kuongoza nchi. Hiyo serikali yenyewe ni CCM kwa mfumo wa 'chama-dola.'Hii ripoti ya CAG ndio inasumbua, mama amebadilisha Utawala Ila nao wanazingua hawataki kuchukua hatua hii inakera na ndio maana kamuambia Waziri wa Ujenzi kama hatachukua hatua basi ajipime hiyo nafasi kama inamfaa.
Haiingii akilini kama kuna report ya ubadhirifu wa namna hii na pia kuna taarifa za wafanyakazi kuchezea mifumo ya malipo na Rais anawapa hizo taarifa wazifanyie kazi halafu wwao wanakaa kimya kubebana tu.
Nani ana uwezoCCM hawana uwezo wa kuongoza nchi. Hiyo serikali yenyewe ni CCM kwa mfumo wa 'chama-dola.'
Sio kulinganisha na chama kingine, bali viwango.Nani ana uwezo
You aren't so active now days