CAG aibua ufisadi TPA ya Deus Kakoko, Ni mbaya kuliko wa Kigwangalla

Jiwe lilikuwa bado liko hai na halikufanya chochote!!!!!
 
Hivi kwa nini BODI YA BANDARI haijavunjwa mpaka leo?

tunaomba tujue majina ya wajumbe wa Bodi ya Bandari, mwenye lists tafadhali aiweke hapa
 
Nitashangaa sana kama TAKUKURU watashindwa kumfikisha Kakoko pamoja na wajumbe wa Bodi ya Bandari Mahakamani.

hawa watu wamekwapua fedha za walipa kodi hivyo wanapaswa wachukuliwe hatua za kisheria bila kusita.
Hili lazima litokee
 
tena bila kuchelewa.
BODI YA BANDARI HAIFAI KABISA INANUKA TENA INANUKA SANA!!!
HARUFU MBAYA.
TENA TUNATAKA KUJUA MAJINA YAO NA HATUA KALI ZICHUKULIWE
 
Huyo alikua anapewa ruhusa ya kutufisadi n mwendazake,yani team fisi wote
 
Huyu Deus Kakoko bado hatujamalizana
Hii ripoti ya CAG ndio inasumbua, mama amebadilisha Utawala Ila nao wanazingua hawataki kuchukua hatua hii inakera na ndio maana kamuambia Waziri wa Ujenzi kama hatachukua hatua basi ajipime hiyo nafasi kama inamfaa.

Haiingii akilini kama kuna report ya ubadhirifu wa namna hii na pia kuna taarifa za wafanyakazi kuchezea mifumo ya malipo na Rais anawapa hizo taarifa wazifanyie kazi halafu wwao wanakaa kimya kubebana tu.
 
CCM hawana uwezo wa kuongoza nchi. Hiyo serikali yenyewe ni CCM kwa mfumo wa 'chama-dola.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…