CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.

CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.

Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?

Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!

IMG_6652.jpeg
 
Marehemu alipenda kuvunja sheria kila wakati mfano hapo kwenye report ya CAG anawapa Suma JKT tenda bila kustahili mwaka 2019. Fisadi mkuu!
Ivi huyu buswalu sijui nani, ni kabila Gani?
 
Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.

CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.

Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?

Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!
Hivi huoni aibu
 
Kinachokuwa kinaniuma, eti mpaka sasa Biswalo hajakamatwa huku stori zikiendelea!

Halafu huyu JPM naye eti alikuwa mwizi wakati wakaguzi wetu wote hawasemi alikuwa akipeleka wapi hayo matrilion

Kipindi cha Ma CAG wenye akili kubwa, kila mahali walipokuwa wakikagua pindi wakikuta ufujaji walitwambia hadi pesa zilikokwenda"

Mfano, yale mapesa ya kina lugamalila jinsi yalivyogawanwa hadi na Maasikofu,

Yale mapesa ya Richmond, jinsi yalivyokuwa yakiingia mifukoni mwa wana CCM

Sasa huyu JPM alizipeleka wapi?
 
Back
Top Bottom