Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ripoti ya CAG iliyosomwa hivi karibuni si ya mwaka 2021/2022. Sasa maswala ya kina Biswalo na JPM yanaingiaje huku tena.Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.
CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.
Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?
Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!
View attachment 2580473
Haya majitu yanakera mno! Yaan nailaan kamati kuu ya ccm ya 2015 kutuletea hii jamii ya kunya kunya miliman na juu ya mawe iongoze nchi yetu! Hayo ndo mavuno tunayovuna tusiokuwa na hatiaSukuma gang na ukiona mradi una ufisadi basi jua uko chini ya sukuma gang
Kama tunataka kumchunguza marehemu, basi uchaguzi mkuu uitishwe , apatikane Rais mpya, maana rais wa sasa na waziri mkuu wake walikuwa kwenye ile serikali ya Marehemu hivyo hawawezi kubaki salama.Marehemu alikuwa mwizi wa kutisha Ila wajinga wengi hawawezi kuliona hili
Hilo swali gumu sana kujibu, wataishia vitisho na matusi.
Wakitajiwa kuna ufisadi mkubwa unaendelea wao wanasema Jiwe alikwa jambazi. Jibu hizo hoja za CAG zilizopo.
By the way, CAG amezungumza nini kuhusu USD 30 million February Marope alizotumia TANESCO kuweka mfumo eti wa kuuza umeme. Au na hii nayo haimo kwenye ripoti? Anachagua vitu vya kiweka
NAUNGA MKONO HOJA KAMA KWELI TUNAPINGA WIZI NA UFISADI BISWALO NA WATENDAJI WOTE WA OFISI YA DPP NA BAADHI YA MAHAKIMU WACHUNGUZWEAsante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.
CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.
Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?
Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!
View attachment 2580473
Tena huko lupango wamtoe kwa plee bargaining ambayo anaweza kurejesha hela alizochepushaSijui wanamchelewesha nini?
Biswalo alikuwa ndiye msiri na mhifadhi wa fedha za dhuluma kutoka please bargain kwa niaba ya Magufuli. Na Wankyo Simon alikuwa msaidizi wake. Hawa majamaa yana fedha nyingi sanaAsante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.
CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.
Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?
Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!
View attachment 2580473
Fisadi hatari sana mwamba!Marehemu alipenda kuvunja sheria kila wakati mfano hapo kwenye report ya CAG anawapa Suma JKT tenda bila kustahili mwaka 2019. Fisadi mkuu!