CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

Kwa hiyo kutojifanya mzalendo ndio aruhusu upigaji? Alafu JPM alikuwa hajjfanyi ni mzalendo kweli kweli. Miaka 5 tu amaefanya makubwa kama Thomas Sankara
Labda kwenu nyie sukuma gang.
 
Samia alisema kweli, wasiwasi wetu ni kuwa, yeye anaambiwa, na yeye anakuja kutuambia na kulalamika kwetu.

  • Mbona hazijatokea kwenye ripoti ya CAG?
  • Hakupaswa kulifuatilia mpaka mwisho?
  • Nani ana mamlaka ya kumuwajibisha aliyezipeleka?
  • Mwenye hiyo akaunti hajulikani?

Ni kweli, wengi wa waliokuwa ndani kwa kesi za uhujumu kipindi cha jiwe, huku mtaani ndugu zao wakisema, DPP amedhulumu mali zao nyingi na hapo, ili upate hiyo nafasi ya kudhulumiwa(kumuona), lazima utoe sh 10m.

Ni nani alimteua kuwa jaji mtu wa aina hii? Kuwa DPP ilikuwa ni kosa la kwanza, kuwa jaji je?
Jiwe atazidi kuandamwa na lawama kutoka kwa watanzania
 
Jiwe atazidi kuandamwa na lawama kutoka kwa watanzania
Sio watanzania, wewe!

Kama sikosei, wewe ni mfuasi wa chama fulani hapa nchini sio?

Viongozi wana uraia wa nchi nyingine, kuwa makini mkuu kama wewe hauna!
 
Projects zote zilizotajwa na CAG ni zile zilizoanzishwa na Jiwe na kuwaweka wat
Mnataka stone tangawizi afufuke aje kusimamia miradi. Samia ameshindwa kabisa. Alidhani akicheka na nyani watamheshimu....
 
Hizo ni hoja tu; kiuhasibu, inawezekana labda nyaraka fulani haipo, mkaguzi anasema ni wizi, baada ya nyaraka kuletwa, hoja inafutwa.
Ndio maana makelele yanakuwa mengi, mwisho wa siku hafungwi mtu.Wakati mwingine, hata umuhimu wa ukaguzi unakuwa haupo.​
 
Alikuwa jambazi na miundombinu akajenga na nchi ikaingia uchumi wa kati.
 
Inahitajika akili kufungua haya mabano[emoji848][emoji848]

Kumlalamikia mtu aliyepewa cheo na yule unayetaka aagize uchunguzi dhidi yake, naona unatakiwa ujiulize unafeli wapi.
Umeongea sahii sana mkuu, ila najifunza kitu aisee mwendazake na team yake walikuwa wezi,

Kuna sehem flan nilichungulia ,ikaonesha kwamba mwendazake utajiri aliouacha akiwa rais , utaweza lisha vitukuu na vitukuu, wenda jamaa aliacha mpaka makontena ya fedha na madini ,yule mwamba katupiga sana
 
Umeongea sahii sana mkuu, ila najifunza kitu aisee mwendazake na team yake walikuwa wezi,

Kuna sehem flan nilichungulia ,ikaonesha kwamba mwendazake utajiri aliouacha akiwa rais , utaweza lisha vitukuu na vitukuu, wenda jamaa aliacha mpaka makontena ya fedha na madini ,yule mwamba katupiga sana
Wacha bwana!
 
Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.

CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.

Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?

Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!

View attachment 2580473
Ati….
 
Back
Top Bottom