CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

Kwa hiyo kutojifanya mzalendo ndio aruhusu upigaji? Alafu JPM alikuwa hajjfanyi ni mzalendo kweli kweli. Miaka 5 tu amaefanya makubwa kama Thomas Sankara
Labda kwenu nyie sukuma gang.
 
Jiwe atazidi kuandamwa na lawama kutoka kwa watanzania
 
Jiwe atazidi kuandamwa na lawama kutoka kwa watanzania
Sio watanzania, wewe!

Kama sikosei, wewe ni mfuasi wa chama fulani hapa nchini sio?

Viongozi wana uraia wa nchi nyingine, kuwa makini mkuu kama wewe hauna!
 
Projects zote zilizotajwa na CAG ni zile zilizoanzishwa na Jiwe na kuwaweka wat
Mnataka stone tangawizi afufuke aje kusimamia miradi. Samia ameshindwa kabisa. Alidhani akicheka na nyani watamheshimu....
 
Hizo ni hoja tu; kiuhasibu, inawezekana labda nyaraka fulani haipo, mkaguzi anasema ni wizi, baada ya nyaraka kuletwa, hoja inafutwa.
Ndio maana makelele yanakuwa mengi, mwisho wa siku hafungwi mtu.Wakati mwingine, hata umuhimu wa ukaguzi unakuwa haupo.​
 
Alikuwa jambazi na miundombinu akajenga na nchi ikaingia uchumi wa kati.
 
Inahitajika akili kufungua haya mabano[emoji848][emoji848]

Kumlalamikia mtu aliyepewa cheo na yule unayetaka aagize uchunguzi dhidi yake, naona unatakiwa ujiulize unafeli wapi.
Umeongea sahii sana mkuu, ila najifunza kitu aisee mwendazake na team yake walikuwa wezi,

Kuna sehem flan nilichungulia ,ikaonesha kwamba mwendazake utajiri aliouacha akiwa rais , utaweza lisha vitukuu na vitukuu, wenda jamaa aliacha mpaka makontena ya fedha na madini ,yule mwamba katupiga sana
 
Wacha bwana!
 
Ati….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…